Dkt.Kiruswa:Nawaomba wachimbaji,wadau wa Sekta ya Madini kote nchini kujiandaa kuhesabiwa Siku ya Sensa

NA DIRAMAKINI

"Naomba nitumie fursa hii kuwaomba wachimbaji na wadau wa Sekta ya Madini kote nchini kujiandaa kuhesabiwa siku ya Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika tarehe 23 Agosti, 2022, ushiriki wako utaisaidia serikali kujua idadi ya wachimbaji kwa maendeleo ya Taifa letu;
Dkt.Kiruswa ameyasema hayo Juni 17, 2022 alipotembelea mgodi wa Nyakavangala uliyopo katika kata ya Malengamakali mkoani Iringa na kulitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kufanya utafiti katika eneo la mgodi wa Nyakavangala ili kujua mwelekeo wa mwamba na kiwango cha madini yaliyopo katika eneo hilo.

Post a Comment

0 Comments