Haya hapa majina 16,676 ya Watanzania waliopata ajira Sekta ya Elimu na Afya leo

NA GODFREY NNKO

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta ya Elimu na Afya nchini.
Orodha hiyo inatokana na waombaji wenye sifa waliokidhi vigezo baada ya Aprili, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoa kibali cha ajira kwa kada za Ualimu na Afya, kwa ajili ya kuajiri walimu 9,800 wa shule za msingi na sekondari na wataalam wa afya 7,612;

MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU


TANGAZO LA KUITWA KAZINI TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA AFYA NA UALIMU JUNI, 2022.pdf

TANGAZO LA TAARIFA KWA UMMA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA JUNI 2022.pdf

kUONA MAJINA KADA ZA AFYA  BOFYA HAPA  AFYA_AJIRA_JUNI2022.pdf


KUONA MAJINA KADA YA ELIMU BOFYA HAPA  ELIMU_AJIRA_JUNI2022_compressed.pdf

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news