NBC yaiwezesha Singida Big Stars FC milioni 50/-

NA DIRAMAKINI

WADHAMIMI wakuu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ya NBC, Benki ya NBC wameipa msaada wa fedha shilingi milioni 50 timu ya Singida Big Stars ya Singida.
Singida ikiwa inatumia jina la DTB katika Championship msimu huu, imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC msimu ujao kabla ya kubadili jina mwezi uliopita. 

Post a Comment

0 Comments