Ujio wa safu mpya ya uongozi Yanga SC ni moto

NA DIRAMAKINI

KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Malangwe Ally Mchungahela imetoa matokeo ya mchujo wa awali kuelekea uchaguzi utakaofanyika Julai 10, mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments