'Tukiwa na wanawake wengi katika nafasi za uongozi ni wazi kuwa taifa litapiga hatua kubwa katika maendeleo'

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuelekeza kuhakikisha wanawake katika Utumishi wa Umma wanajengewa uwezo kiutendaji ili waweze kushika nafasi za uongozi na kufanya maamuzi kwa maendeleo ya taifa.

"Kama wanawake wengi wamefanikiwa kuongoza makampuni na taasisi za umma na zikafanya vizuri, ina maana tukiwa na wanawake wengi katika nafasi za uongozi ni wazi kuwa taifa litapiga hatua kubwa katika maendeleo;

Post a Comment

0 Comments