Ungeulizwa maana ya REA ungejibu nini? Haya ndiyo majibu ya wanafunzi

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ni taasisi inayojiendesha chini ya Wizara ya Nishati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jukumu lake kuu ni kukuza na kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za nishati ya kisasa katika maeneo ya vijijini ya Tanzania Bara. REA ilianza kufanya kazi mnamo Oktoba 2007.IFAHAMU REA HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments