Viongozi wa REA wasisitiza kasi, ufanisi na ubora miradi ya nishati vijijini


"REA tunamshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutuwezesha kutekeleza miradi ya nishati vijijni tunamuahidi kuendelea kuitekeleza kwa kasi na ubora ili kutimiza azma ya Serikali kuwanufaisha wananchi wote vijijini,"Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo.Post a Comment

0 Comments