JULAI 5 KUNA JAMBO: USIKOSE, MUDA UKIFIKA UNAWEZA KUSHIRIKI

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Julai 5, 2022 (Jumanne) kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 12:30 jioni.
Mada:Mjadala wa Wanasheria juu ya zoezi la uwekaji Mipaka Tarafa ya Loliondo na Uhamaji wa Hiari kwa Wakazi wa Ngorongoro.

Muda ukifika (Saa 10 kamili jioni, Julai 5, 2022 - Jumanne) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3yf1E6S

Au kupitia
Meeting ID: 861 3784 7684
Passcode: 056609

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments