'Miradi ya maendeleo Zanzibar inafika kila mahali'

Wazee wa Kojani wakisubiri kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, wakati akiendelea na ziara yake Pemba kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiwasalimia wananchi wa Kojani alipowasili kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na kulia kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Salama Mbarouk na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Zanzibar Commodore Azana Hassan Msingiri.(Picha na Ikulu).  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia wananchi wa Kojani wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani Pemba inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia wananchi wa Kojani Pemba baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani, inayojengwa kwa Fedha za Uviko -19.

Post a Comment

0 Comments