Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya kisasa kwa wajasiriamali Zanzibar

Muonekano wa milango ya maduka katika Kituo cha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Tumbe kilichowekwa Jiwe la Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi, kikiwa na milango ya maduka 54.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kikosi cha KMKM S/LT.Khamis Said Mohammed wakati akitoa maelezo ya michoro ya Kituo cha Biashara cha Wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba, kulia kwa Rais ni mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe Masoud Ali Mohammed na kushoto kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Salama Mbarouk na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Kituo cha Wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo hicho akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kikosi cha KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri akitoa maelezo ya Kituo cha Wajasiriamali Tumbe, wakati akitembelea ujenzi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na kulia kwa Rais ni mkewe Mama Mariam Mwinyi na kushoto kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Masoud Ali Mohammed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea ujenzi wa Kituo cha Wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo hicho na kulia kwake ni mkewe Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri na kushoto kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Masoud Ali Mohammed.
Wananchi wa Kijiji cha Tumbe Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza nao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa Miwili ya Pemba.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments