Rais Dkt.Mwinyi akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba ya kutembelea miradi ya maendeleo katika mkoa huo, majumuisho yaliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu).
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika mkoa huo, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu).
Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu).
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu).
Baadhi ya mawaziri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments