Rais Samia ateta na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia,Victoria Kwakwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news