Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 11,2022

NA GODFREY NNKO 

LEO Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 342.42 na kuuzwa kwa shilingi 345.43 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.82 na kuuzwa kwa shilingi 16.99.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 11, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2292.95 na kuuzwa kwa shilingi 2315.88 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2749.25 na kuuzwa kwa shilingi 2777.67.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 135.61 na kuuzwa kwa shilingi 136.92 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.43 na kuuzwa kwa shilingi 19.59.

Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.61.
Wakati huo huo, Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.29 na kuuzwa kwa shilingi 630.48.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news