Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 27,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 136.09 na kuuzwa kwa shilingi 137.40 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.32 na kuuzwa kwa shilingi 19.47.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2746.79 na kuuzwa kwa shilingi 2775.88 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.55 na kuuzwa kwa shilingi 10.11.

Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 27, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 339.20 na kuuzwa kwa shilingi 342.52 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.79 na kuuzwa kwa shilingi 16.95.

Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.29 na kuuzwa kwa shilingi 630.49.

Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.26 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.60.
Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2322.82 na kuuzwa kwa shilingi 2346.97 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.01 na kuuzwa kwa shilingi 2315.94.

Post a Comment

0 Comments