Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 28,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.29 na kuuzwa kwa shilingi 630.48.

Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 135.92 na kuuzwa kwa shilingi 137.16 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.32 na kuuzwa kwa shilingi 19.48.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2763.72 na kuuzwa kwa shilingi 2792.26 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.26 na kuuzwa kwa shilingi 9.77.

Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 28, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 339.69 na kuuzwa kwa shilingi 342.95 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.74 na kuuzwa kwa shilingi 16.91.
Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.59.
Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2326.68 na kuuzwa kwa shilingi 2350.87 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2292.97 na kuuzwa kwa shilingi 2315.9.

Post a Comment

0 Comments