Waziri Simbachawene akagua maandalizi ya Kumbukumbu ya Mashujaa

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene pamoja na Kamati Tendaji ya maandalizi ya Maadhimisho Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wametembelea na kukagua maandalizi ya kuelea Siku hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Batholomeo Jungu alipotembelea kukagua maandalizi ya kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, yatakayofanyika Kitaifa jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akikagua mnara wa mashujaa wakati alipotembelea uwanjani hapo.
Mkuu wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Batholomeo Jungu akieleza kuhusu maandalizi ya Kuelekea Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mnara ya Mashujaa Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. George Simbachawene pamoja na Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Maadhimihisho ya Siku ya Mashujaa wakiangalia Gwaride la vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama (ambalo halipo pichani) wakiwa katika mazoezi ya maandalizi ya kumbukumbu ya Mashujaa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio wakati alipotembelea kukagua maandalizi ya kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa.
Vikosi mbalimbali vya Ulinzi na Usalama vikiwa katika mazoezi wakati wa maandalizi ya kuelekea Madhimisho ya siku ya Mashujaa jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akitoa maelekezo kwa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio wakati alipotembelea kukagua maandalizi ya kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa.
Vikosi mbalimbali vya Ulinzi na Usalama vikiwa katika mazoezi wakati wa maandalizi ya kuelekea Madhimisho ya siku ya Mashujaa Jijini Dodoma. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Maadhimisho hayo yanayotarajiwa kufanyika Kitaifa Jijini Dodoma katika la Uwanja wa Mnara wa Mashujaa tarehe 25 Julai, 2022 ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news