Ziara za Rais Dkt.Mwinyi wilayani zaacha tabasamu kwa wananchi


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wavuvi, wakulima wa mwani pamoja na wananchi mara baada ya kukabidhi vifaa vya uvuvi akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bibi Bimkuwa Nassor (kulia) mwakilishi wa kikundi cha wakulima wa Mwani “SUBIRA NZURI” mara baada ya kukabidhi vifaa vya Uvuvi pamoja na boti za kupakilia mwani akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi na wananchi wakiwa katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Uvuvi pamoja na boti za kupakilia mwani viliyokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Fedha Shilingi Millioni Moja na Nusu Nd,Kassim Hassan akiwa mshindi katika mashindano ya Vidau wakati ziara yake ya Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments