Azam FC yamtakia kila la heri Mudhathir Yahya aendako

NA DIRAMAKINI

KLABU ya Azam FC imehibitisha kuachana na kiungo wake wa muda mrefu, Mudathir Yahya Abbas, baada ya mkataba wake kumalizika tangu Juni 30, mwaka huu.
“Tunamtakia kila la heri katika kazi yake ya mpira na tunamkaribisha klabuni kwetu wakati wowote,” imesema taarifa ya Azam FC.

Post a Comment

0 Comments