🔴LIVE:MKUTANO WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI BRAZIL, PROF. ADELARDUS KILANGI NA WAANDISHI WA HABARI

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Brazil, Mheshimiwa Prof.Adelardus Kilangi akizungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka jijini Brasilia nchini Brazil kuelezea majukumu mbalimbali ya ubalozi na namna ambavyo wanashiriki kuziainisha fursa mbalimbali kwa ustawi bora wa uchumi.

Post a Comment

1 Comments

  1. Hongera sana professor, this is a very good initiative, umefanya ziara na utafiti wa kutosha kabla ya kutuhabarisha. Tumekupata vizuri. Kazi kwetu Watanzania kuchangamkia fursa. Nadhani iko haja Huku nchini, Serikali iwe na utaratibu wa kuweka mapendekezo kama haya kwenye action plan ili mapendekezo haya yasiishie kusikiliza Tu na baadaye kupotea bila habari.

    ReplyDelete