🔴LIVE:MKUTANO WA NHIF NA WADAU MKOANI GEITA

Huu ni utaratibu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kukutana na wadau wake nchini kote kwa lengo la kuwasikiliza, kushauriana na kujadiliana namna ya kuboresha huduma mbalimbali wanazotoa ili ziweze kuwafikia kwa ufanisi.NHIF imejipanga kutoa huduma bora za matibabu kwa wanachama wake zenye unafuu, zinazokubalika na zinazopatikana kwa haraka kupitia vituo vilivyosajiliwa na mfuko kote Tanzania Bara na Zanzibar.
 

Post a Comment

0 Comments