LIVE:RAIS SAMIA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA NJOMBE KATIKA MKUTANO WA HADHARA

Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini mkoani Njombe wakiwa tayari kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye atahutubia katika mkutano wa hadhara leo Agosti 10, 2022;

Post a Comment

0 Comments