NHIF:Waajiri wenye malimbikizo madeni ya michango ya watumishi walipe kabla ya Agosti 30 kuepuka usumbufu

"Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuwatangazia waajiri wote nchini wenye malimbikizo ya madeni ya michango ya watumishi wao kulipa haraka malimbikizo hayo kabla ya tarehe 30 mwezi huu wa Agosti, 2022 ili kuondoa usumbufu unaoweza kujitokeza".

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news