RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Mohammed Ali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 26-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-8-2022.
_770_453shar-50brig-20.JPG)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Ayatul Kursiyu na Kiongozi wa Masjid Nabawi Sheikh Ali Aboud,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo iliyoko katika mtaa wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo. 26-6-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa mtaada wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi "B" Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliuofanyika katika Masjid hiyo 26-8-2022. (Picha na Ikulu).