Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango leo Agosti 1, 2022 ameiagiza Wizara ya Kilimo nchini kufanya utafiti wa mazao ikiwemo utoaji wa elimu ya lishe kwa wananchi.

0 Comments