🔴:SIMBA SC vs ST.GEORGE KATIKA DIMBA LA BENJAMIN MKAPA

Huu ni mtanange wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya ST.George ya Ethiopia, mchezo unaopigwa katika Dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Saalam ikiwa ni siku ya tamasha la Simba Day.

Post a Comment

0 Comments