Spika Dkt.Tulia ashiriki Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola unaofanyika CanadaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Tulia Ackson ameshiriki Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola unaofanyika Halifax nchini Canada. Mhe. Spika ameambatana na Wajumbe wa Chama hicho kutoka Bunge la Tanzania ambao ni Mhe. Juma Hija, Mhe. Salome Makamba na Mhe. Aysharose Mattembe.

Post a Comment

0 Comments