Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 22,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.42 na kuuzwa kwa shilingi 630.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.16 na kuuzwa kwa shilingi 148.47.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 22, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2310.75 na kuuzwa kwa shilingi 2334.78.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.61 na kuuzwa kwa shilingi 219.72 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.34 na kuuzwa kwa shilingi 136.65.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.75 na kuuzwa kwa shilingi 29.03 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.17 na kuuzwa kwa shilingi 19.33.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.17 na kuuzwa kwa shilingi 10.78.

Aidha,Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2722.62 na kuuzwa kwa shilingi 2750.78 huku Dinar ya Algeria (DZD) ikinunuliwa kwa shilingi 16.409 na kuuzwa kwa shilingi 16.415.

Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku Kwacha ya Zambia (ZMK) ikinunuliwa kwa shilingi 141.02 na kuuzwa kwa shilingi 143.42.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 22nd, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.4226 630.5295 627.476 22-Aug-22
2 ATS 147.1622 148.4661 147.8142 22-Aug-22
3 AUD 1583.5353 1599.8339 1591.6846 22-Aug-22
4 BEF 50.1985 50.6428 50.4206 22-Aug-22
5 BIF 2.1957 2.2123 2.204 22-Aug-22
6 BWP 179.5667 181.8256 180.6962 22-Aug-22
7 CAD 1767.6251 1784.7511 1776.1881 22-Aug-22
8 CHF 2398.6161 2421.5891 2410.1026 22-Aug-22
9 CNY 336.9997 340.3247 338.6622 22-Aug-22
10 CUC 38.2878 43.5222 40.905 22-Aug-22
11 DEM 918.9073 1044.5321 981.7197 22-Aug-22
12 DKK 310.7475 313.8252 312.2864 22-Aug-22
13 DZD 16.4088 16.4152 16.412 22-Aug-22
14 ESP 12.1707 12.278 12.2243 22-Aug-22
15 EUR 2310.746 2334.78 2322.763 22-Aug-22
16 FIM 340.5781 343.5961 342.0871 22-Aug-22
17 FRF 308.7104 311.4411 310.0758 22-Aug-22
18 GBP 2722.6257 2750.7785 2736.7021 22-Aug-22
19 HKD 292.2875 295.2066 293.747 22-Aug-22
20 INR 28.7491 29.033 28.891 22-Aug-22
21 ITL 1.0458 1.0551 1.0505 22-Aug-22
22 JPY 16.7947 16.9614 16.8781 22-Aug-22
23 KES 19.1669 19.3262 19.2466 22-Aug-22
24 KRW 1.728 1.7443 1.7361 22-Aug-22
25 KWD 7467.8981 7527.869 7497.8835 22-Aug-22
26 MWK 2.0754 2.2352 2.1553 22-Aug-22
27 MYR 512.5876 517.1355 514.8616 22-Aug-22
28 MZM 35.3362 35.6346 35.4854 22-Aug-22
29 NAD 104.4171 105.2708 104.844 22-Aug-22
30 NLG 918.9073 927.0562 922.9817 22-Aug-22
31 NOK 234.5744 236.8572 235.7158 22-Aug-22
32 NZD 1426.4431 1441.634 1434.0385 22-Aug-22
33 PKR 10.1687 10.7858 10.4773 22-Aug-22
34 QAR 747.9741 748.3686 748.1714 22-Aug-22
35 RWF 2.2074 2.2666 2.237 22-Aug-22
36 SAR 610.7043 616.68 613.6921 22-Aug-22
37 SDR 3020.1836 3050.3854 3035.2845 22-Aug-22
38 SEK 217.6111 219.7247 218.6679 22-Aug-22
39 SGD 1652.4837 1668.4074 1660.4455 22-Aug-22
40 TRY 126.718 127.9378 127.3279 22-Aug-22
41 UGX 0.5736 0.6019 0.5878 22-Aug-22
42 USD 2293.3168 2316.25 2304.7834 22-Aug-22
43 GOLD 4021376.9307 4062771.9875 4042074.4591 22-Aug-22
44 ZAR 135.3404 136.6495 135.995 22-Aug-22
45 ZMK 141.0176 143.4211 142.2193 22-Aug-22
46 ZWD 0.4292 0.4378 0.4335 22-Aug-22


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news