Ziara ya Rais Samia mkoani Mbeya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilayani Mbarali katika hafla fupi iliyofanyika Ubaruku, Rujewa Mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ubaruku, Mbarali mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Halali Wilaya ya Wanging’ombe alipowasili Mkoani Njombe kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo tarehe 08 Agosti, 2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news