DAKIKA CHACHE ZIJAZO:Unaweza kushiriki katika Mjadala wa Kitaifa juu ya Hali ya Usalama nchini na Operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi

Watch Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika leo Ijumaa ya Septemba 30, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya Hali ya Usalama nchini na Operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi

Muda ukifika saa 5 kamili utaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya  https://bit.ly/3UINkOu

Au kupitia
Meeting ID: 872 9780 7845
Passcode: 124714

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments