LIVE:RAIS SAMIA AKISHIRIKI HAFLA UTIAJI SAINI MKATABA WA USIMAMIAJI WA SHUGHULI ZA LISHE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments