IJP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda wa polisi

NA DIRAMAKINI

MKUU wa Jeshi la Polisi, IJP Camillus Wambura amewahamisha mikoa ya kazi baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa huku mmoja akimhamishia Makao Makuu ya Polisi Dodoma.
Katika taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime, waliohamishwa ni Kamanda Henry Mwaibambe kutoka Geita kwenda Tanga, na Kamanda Safia Shomary aliyekuwa Tanga amehamishiwa Mkoa wa Geita.

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Temeke, Richard Ngole amehamishiwa makao makuu na nafasi yake imechukuliwa na Kungu Malulu aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rufiji.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news