IJUMAA HII: Usikose,mjadala wa Kitaifa juu ya Hali ya Usalama nchini na Operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Ijumaa ya Septemba 30, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Mjadala wa Kitaifa juu ya Hali ya Usalama nchini na Operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi.

Muda ukifika (Saa 5 kamili, Septemba 30, 2022 - (Ijumaa) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3UINkOu

Au kupitia

Meeting ID: 872 9780 7845

Passcode: 124714

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news