JUMAMOSI HII:Utafahamishwa kuhusu fursa zilizopo Geita, Simiyu na Songwe

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum na muhimu utakaofanyika Jumamosi ya Septemba 24, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Simiyu, Geita na Songwe.
Muda ukifika saa 5 kamili,Jumamosi ya Septemba 24, 2022 utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3QVDUfv

Au kupitia

Meeting ID: 871 1939 6811

Passcode: 511223

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel -Tanzania.

Post a Comment

0 Comments