Njia ya Kati ya Biashara ya Utumwa na Vipusa yatazamwa kwa upekee

NA MWANDISHI WETU

WIZARA ya Maliasili na Utalii leo Septemba 21,2022 imefanya kikao cha wadau kuhusu uorodheshwaji wa Njia ya Kati ya Biashara ya Utumwa na Vipusa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia.
Mada zilizowasilishwa ni umuhimu wa njia ya kati ya Biashara ya Utumwa na Vipusa kuwa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia, mradi wa kutangaza njia ya kati ya Biashara ya Utumwa na Vipusa, mpango wa kutangaza njia ya kati ya Utumwa na Vipusa Kiutalii na hatua iliyofikiwa katika uorodheshwaji wa Njia ya Kati ya Biashara ya Utumwa na Vipusa.

Post a Comment

0 Comments