Kamati yaelezwa majukumu ya Ofisi ya Mkaguzi wa Ndani wa Serikali

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali wapokea maelezo kuhusu majukumu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali katika udhibiti wa matumizi ya fedha za umma, pia wamepitia na kuchambua taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa na EWURA.

Post a Comment

0 Comments