LIVE:RAIS SAMIA AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA (NDC)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments