LIVE: RAIS SAMIA AKISHIRIKI KONGAMANO LA 12 LA CHAMA CHA FRELIMO NCHINI MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO katika Ukumbi wa FRELIMO - Eneo la Matola nchini Msumbiji leo tarehe 23 Septemba, 2022.

Post a Comment

0 Comments