🔴LIVE: ZALAN FC VS YANGA SC LEO

Mtanange huu wa hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC unapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Yanga kitakachoanza namna hii:-
Mshery
Djuma
Kibwana
Bangala
Aucho
Feisal
Ambundo
Mayele
Aziz KI
Moloko
Akiba
Johora
Bacca
Bryson
Job
Lomalisa
Mauya
Gael
Nkana
Makambo

Post a Comment

0 Comments