🔴LIVE:Balozi Jestas A. Nyamanga akizungumza na wanahabari wote nchini

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ubelgiji,Mheshimiwa Jestas A. Nyamanga akizungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumatano, Septemba 21, 2022.
Matangazo haya yameanza saa 5 kamili asubuhi kwa saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Brussels nchini Ubelgiji.

Matangazo haya yameanza saa 5 kamili asubuhi kwa saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Brussels nchini Ubelgiji.

Jinsi ya Kushiriki:

Bofya https://bit.ly/3Bws5qz

Au tumia
Meeting ID: 828 7457 2432
Passcode: 435906

Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments