🔴LIVE:Hizi hapa fursa za kiuchumi mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum utaofanyika leo Jumamosi ya Septemba 3, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:00 mchana.
Mada: Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania -Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara

Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3R3a5dR

Au kupitia
Meeting ID: 820 4583 6760
Passcode: 388252
Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news