🔴LIVE:Mjadala ukiangazia hali ya usalama nchini na operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu muhimu na maalum unaofanyika leo Ijumaa ya Septemba 30, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada: Mjadala wa kitaifa juu ya Hali ya Usalama nchini na Operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3UINkOu
Au kupitia
Meeting ID: 872 9780 7845
Passcode: 124714

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments