Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri KuuMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Septemba 26, 2022 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments