NI SEPTEMBA 26:Usikose,mjadala wa Kitaifa juu ya Faida za Ziara ya Rais Samia nchini Msumbiji

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Jumatatu ya Septemba 26, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada: Mjadala wa kitaifa juu ya Faida za Ziara ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan nchini Msumbiji
Muda ukifika Jumatatu ya saa 5 kamili, Septemba 26, 2022 utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya shorturl.at/eIQR2

Au kupitia
Meeting ID: 822 6760 9454
Passcode: 673330

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Post a Comment

0 Comments