Rais Dkt.Mwinyi afanya uteuzi leo

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua,Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) katika Ofisi ya Rais Katiba Sheria,Utumishi na Utawala Bora.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 5, 2022 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena A.Said.

Zinazohusiana, Rais Dkt.Mwinyi aridhia kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA

 Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi huo unaanza leo Septemba 5, 2022 ambapo kabla ya uteuzi huo, Ali Abdalla Ali alikua Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news