Taarifa muhimu kutoka DStv Tanzania, Oktoba 1-2 wataboresha mfumo wao

"Ndugu mteja, kutokana na maboresho ya mfumo wetu kunaweza kukawa na changamoto ya malipo siku ya tarehe 1 na 2 Oktoba, 2022. Unashauriwa kulipia akaunti yako kabla ya muda huo kuepuka usumbufu".

Post a Comment

0 Comments