🔴LIVE:Balozi Dkt.Jilly Maleko akizungumza na wanahabari leo Oktoba 26, 2022

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi,Dkt. Jilly Maleko akizungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumatano Oktoba 26, 2022, kuanzia saa 5 kamili asubuhi, moja kwa moja kutokea jijini Bujumbura nchini Burundi.

Wanahabari wote mnaweza kushiriki

Bofya https://bit.ly/3N2hAkg

Au tumia
Meeting ID: 860 2369 5635
Passcode: 194685

Mawasiliano: +255734052138Post a Comment

0 Comments