🔴LIVE:Saa mbili na nusu za kuangazia Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya Awamu ya Sita

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu muhimu na maalum unaofanyika leo Jumamosi Oktoba 15, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya Awamu ya Sita

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3CpUbEa
Au kupitia
Meeting ID: 883 8972 2211
Passcode: 348252

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online,Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Post a Comment

0 Comments