Mheshimiwa Masanja katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE)

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akivishwa urembo wa Kimasai alipotembelea banda linaloonyesha Utamaduni wa Kimasai katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akivishwa kofia na mmoja wa washiriki wa Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili wakati wa kutembelea mabanda Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na watumishi wa Wizara yake alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) katika picha ya pamoja na washiriki wa Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili alipotembelea mabanda Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara yake alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news