Mume wangu alizidisha kuwafungulia wanawake zipu, yaliyomkuta amekoma

NA MWANDISHI WETU

MIMI Khadija na mume wangu Said tumeishi maisha mazuri na ya amani hadi mwezi uliopita ndipo alipoanza kubadilisha mienendo yake.

Kwa wiki nne sasa amekuwa akirejea nyumbani usiku na wakati ninapomuuliza anasema kazi zimekuwa nyingi. Nilikuwa nikishangaa imekuaje kazi yao imebadilika ghafla na kuwa nyingi tofauti na ilivyokuwa hapo awali.

Maajabu, juzi aliporudi usiku nilienda kuchungulia gari lake punde tu aliposhuka na niliona maajabu. Kwa kweli niliyoyaona yalinifedhehesha mno.

Kwenye kiti cha nyuma kulikuwa na suruali nyekundu ya msichana na chini ya kiti hicho kulikuwa na pakiti ya kondomu.

Niliumia sana,sikusema lolote na ilipofika asubuhi nilienda nikachukuwa vitu vyote nikamuonyesha ndipo ugomvi ulipozuka nyumbani.

Ilifikia hatua, mume wangu karibu aniue kwa kisu nikatoroka kupitia mlango wa nyuma.Nilisafiri hadi nyumbani kwa mama yangu mzazi nikamuelezea yaliyojiri na hakuamini.

Alinikaribisha na kuniambia nisijali. Siku ya pili mama aliniita sebuleni na kuniambia kuwa kuna suluhisho la kudumu.

Alimpigia simu Daktari mmoja wa miti shamba anayeitwa Kiwanga na kumuelezea kila jambo. Aliponikabidhi simu, Dakatari aliniambia kuwa niende jioni kumuona na nilipofika alifanya mambo kadhaa ya kienyeji na kunihakikishia kuwa mume wangu atajuta alichonifanyia.

Sikuamini ahadi hiyo. Siku iliyofuata nilisikia simu ikiita kwa namba mpya,nilipoipokea ni sauti ya mume wangu aliyekuwa akilia na kusema nimsamehe kwa sababu anaona nyoka wakubwa wakimfuata kila mahali.

Nilimuambia mimi sijui hayo kisha akasema nimsamehe kwa sababu anahisi nimemfanyia jambo. Alisema amejutia hivyo turudiane.

Hata haikuisha siku hiyo, mwenyewe alisafiri hadi kwetu na kuongea na mama yangu kwa heshima kisha akasema kuwa, atanitunza na hawezi kunitesa tena.

Nina siku tatu nipo nyumbani kwangu, sasa tumerudiana na ameachana na hulka hizo za kuchepuka nje, kwa sasa akiwa kazini anapiga simu kila saa na kabla ya saa tisa alasiri anarejea nyumbani tofauti na awali alikuwa anarudi usiku wa manane.

Kumbuka, Dokta Kiwanga vilevile wanatibu magonjwa sugu kama Kisukari na Pressure na magonjwa mengineyo kwa kutumia miti shamba. Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa simu +254 769404965, WhatsApp ipo pia au www.kiwangadoctors.com Unaweza kuandika barua pepe; Kiwangadoctors @gmail.com.

Mimi Khadija nakiri kuwa,Daktari Kiwanga ameniokoa sana katika ndoa yangu na sasa maisha ni mazuri na nyumba yangu imetulia.

Pia Dr. Kiwanga anaweza kushika wezi, kuzuia mikosi, kumaliza na kushinda kesi mahakamani,kuimarisha nyota yako ya maisha na kikazi na kurudisha mke au mume nyumbani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news