Rais Dkt.Mwinyi ateta na wazee kutoka Tumbatu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika mazungumzo na Wazee kutoka maeneo ya Tumbatu Gomani, Uvivini, Chwaka na Jongoe, katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyotoa kwa wazee hao wakati wa ziara alizozifanya hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments